
| POST | MKAGUZI WA DARAJA LA II – 10 POST |
| POST CATEGORY(S) | ACCOUNTING AND AUDITING |
| EMPLOYER | NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2021-05-21 2021-06-03 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
ii. Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi wa ukaguzi kila mwaka; iii. Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji ya mpango wa kazi; iv. Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa; V. Kushiriki kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit Programme; VI. Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi; VII. Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; na VIII. Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
|
| REMUNERATION | TGS D |