
Mastaa wa Muziki Diamond Platnumz, Wizkid na Burna Boy Mei 27, 2021 wametajwa kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act:
Orodha kamili ipo hapa chini.
@Ayanakamura_Officiel (France)
@BurnaBoyGram (Nigeria)
@DiamondPlatnumz (Tanzania)
@Emicida (Brazil)
@Headieone (UK)
@WizKidayo (Nigeria)
@YoungTandBugsey (UK)
@Youssouphamusik (France)
Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.