
Wakati kukiwa na mjadala mkali juu ya kuteuliwa kwake kuwania Tuzo ya BET, staa wa Bongo Fleva, @diamondplatnumz amesema kuna watu wengi walijaribu kumuua, lakini walishindwa.
Diamond ameandika; “Walijaribu wengi kuniua kimuziki wakashindwa, wasanii wakongwe wamejaribu, wakashindwa, media ndiyo usiseme, naona na wanaharakati wa siasa wameanza, hakuna asiyejua ukweli, si lazima niseme, ila ukweli unajulikana, bila mimi Bongo Fleva isingekuwa hivi, mgumu kunishusha..”
Nini maoni yako?
CC: @sifaelpaul.