
Wananchi na wafanyabiashara nyuma ya kituo cha mabasi yaendayo kasi- Gerezani, wameiomba serikali kuwasaidia kufanya maboresho ya barabara katika eneo hilo ili waweze kufanya biashara zao vizuri.
Kupitia kipindi cha Mtaa kwa Mtaa, Wafanyabiashara wamelalamika kukosa watesa hasa katika kipindi cha mvua, kwa sababu ya wateja wao hushindwa kufika katika biashara zao.