Baada ya ukimya wa muda mrefu toka amwage wino kusimamiwa na lebo ya Konde music Worldwide @officialkilly_tz atangaza ujio wake kwa mara nyingine tena kwa kuachia video ya wimbo wake mpya wa Killy.