×

Video: Baba Levo Afanya Balaa Nandy Festival Kigoma


Msanii wa vichekesho na muziki, Clayton Chipando maarufu Baba Levo amefanya balaa usiku wa leo Juni 05, mkoani Kigoma kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha lake la Nandy Festival.

 

Katika tamasha lake hilo Nandy, amesindikizwa na wanamuziki wengine akiwemo mfalme Alikiba, Mabantu, Marioo na wengine. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment