×

Mhariri wa Star TV Nathan Lwehabura Afariki Dunia

 

Mhariri Mkuu wa zamani wa Star TV Nathan Lwehabura (wa kwanza kushoto anayezungumza).

Mhariri Mkuu wa zamani wa Star TV Nathan Lwehabura amefariki dunia leo Juni 13, 2021 asubuhi Jijini Mwanza.

Nathan alifanya kazi pia Radio Tanzania Dar es Salaam.

Inna Lillah Waina Illaih Rajiuun

Leave a Comment