×

Nafasi ya kazi Global Group, Usambazaji

Global Group inatoa fursa ya ajira kwa vijana wa Kiume waliosomea masomo ya Sale & Marketing na Supply and Procurement ngazi ya chuo chochote kilichosajiliwa na Serikali

Leave a Comment