Serikali imeazimia ifikapo 2022 Vijiji na Vitongoji vyote vitakuwa na huduma ya umeme ambapo kwa sasa Wakandarasi wamesambazwa katika Halmashauri zote Nchini ili Kukamilisha Vijiji vilivyosalia kwa ajili ya kupata huduma hiyo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx