×

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International yaSingapore Kuok Khoon Hong akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Leave a Comment