MWANAMUZIKI anayefanya poa kwenye muziki wa Singeli Bongo, Khalid Sadick ‘Meja Kunta’ amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni 18, 2021 jijini Mwanza kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha la Nandy Festival.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx