
| POST | FUNDI SANIFU MSAIDIZI – (LAND SURVEY) – 2 POST |
| POST CATEGORY(S) | LAND MANAGEMENT |
| EMPLOYER | Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development |
| APPLICATION TIMELINE: | 2021-06-17 2021-07-01 |
| JOB SUMMARY | NA |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kunakili au kuchora michoro ya mipangomiji; ii. Kuweka kumbukumbu za michoro inayohitaji kuidhinishwa; na iii. Kufanya marekebisho ya michoro ya Mipangomiji inyohitaji kuidhinishwa. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye mchepuo wa mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Usimamizi Ardhi, Uthamini na Usajili kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS B |