×

Nafasi za kazi 4 TEMESA, Auto Electric Technician

POST FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME WA MAGARI – AUTO ELECTRIC TECHNICIAN) – 4 POST
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kuchunguza na kubaini matatizo ya mifumo ya umeme naelektroniki kwenye magari/mitambo na kuyatatua;
ii.    Kufanya matengenezo ya vifaa vya umeme/elektroniki
kwenye magari/mitambo;
iii.    Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi;
iv.    Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi;
v.    Kuhakikisha vifaa vya karakana na mazingira yake ni safi wakati wote;
vi.    Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi; na
vii.    Kufanya uchunguzi, kubaini, kuandaa gharama na kurekebisha matatizo ya umeme katika magari kwa kutumia “Auto Diagnostic Machine”.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE •    Awe na elimu ya kidato cha sita na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Ufundi Umeme wa Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali, au
•    Awe na elimu ya kidato cha nne na kufuzu kozi ya miaka mitatu katika fani ya Ufundi umeme wa Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali, au
•    Awe na elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Hatua ya I (Trade Test I) katika fani ya Ufundi umeme magari/mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali;
•    Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu (3) wa kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme/elektroniki kwenye magari madogo na makubwa/mitambo kwenye karakana/gereji iliyosajiliwa;
•    Awe mchapakazi, anayejiamini na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa na
•    Mwenye uzoefu kwenye matengenezo ya mifumo ya umeme/elektroniki ya magari /mitambo ya kisasa atapewa kipaumbele.
REMUNERATION TGS C

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

 

Leave a Comment