×

Rasmi: Ibenge Asepa As Vita

Taarifa za kuthibitika zinaeleza kuwa kocha Frolentine Ibenge ameachana na klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi akithibitisha.

“ ndugu mashabiki, ninatangaza kuondoka kwa kocha wetu Jean-Florent. Kwa niaba ya klabu ya AS Vita, tunamshukuru kwa utumishi wake na tunamtakia kila la kheri.” – Bestine, Rais AS Vita

Leave a Comment