The House of Favourite Newspapers

Yanga Yaingia Mkataba Mpya na Azam Media -Video

0

Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imeingia mkataba wa mashirikiano ya maudhui na AzaMedia wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando na Mwenyekiti wa Yanga SC, Dkt. Mshindo Msolla, wakisaini mkataba wa mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.

p

Leave A Reply