×

Live: Shigongo Anazungumza na Wanahabari Muda Huu

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Eric Shigongo anazungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kimaendeleo aliyoyafanya katika kipindi kifupi cha miezi 8 Jimboni kwake sambamba na mikakati yake ya kimaendeleo katika jimbo hilo.

FUATILIA LIVE KUPITIA GLOBAL TV ONLINE HAPA HAPA

Leave a Comment