WAUMINI katika Msikiti wa ISLAH uliopo Kigogo jijini Dar es Salaam wameshindwa kufanya suala ya Eid msikitini kufuatia sintofahamu baina ya uongozi uliopo na wa zamani, ambapo waumini wamedai kuwa uongozi uliopo haukufuata taratibu za Kiislamu hali inayosababisha waumini kufanya ibada nje.
