The House of Favourite Newspapers

Nafasi ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Afisa Mipango

0

HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI (@BAHIDC) | Twitter

POST AFISA MIPANGO DARAJA LA II –(PLANNING OFFICER II) – 1 POST
POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES
HR & ADMINISTRATION
LAND MANAGEMENT
PROJECT, PLANNING AND POLICY MANAGEMENT
SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
APPLICATION TIMELINE: 2021-07-20 2021-08-02
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kuandaa taarifa ya miradi na mipango ya maendeleo, idadi ya watu, rasilimali watu, maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
ii.    Kuwasaidia wananchi kuandaa mpango shirikishi wa jamii;
iii.    Kubainisha vipaumbele vya ustawi wa maendeleo ya jamii, mazingira endelevu, program za maliasili na uwekezaji na fedha;
iv.    Kuandaa taarifa za tathmini za athari za mazingira zinazotokana na miradi (Enviromental Impact Assessment – eia);
v.    Kukusanya taarifa kwa ajili ya uandaaji wa mipango na bajeti;
vi.    Kukusanya na kuweka kumbukumbu za idadi ya watu na rasilimali watu; na
vii.    Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Mipango kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (Major) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Mipango ya Maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Menejimenti ya Mazingira, Mipango ya Maendeleo ya Idadi ya Watu (Population and Development Planning), Mipango ya Uwekezaji na Maendeleo ya Fedha, Mipango ya Menejimenti ya Rasilimali watu, Menejimenti ya Mazingira na Maendeleo ya Miji, na Maendeleo ya Uchumi.
REMUNERATION TGS D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply