Rais Magufuli Awaongoza Watanzania Kufanya Usafi
Magufuli ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais huyo aonekanavyo pichani akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi.
Rais Magufuli akiokota taka taka katika eneo la ufukwe wa ferry akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akishirikiana na wananchi wengine kufanya usafi.Rais Magufuli na mkewe, Mama Janeth Magufuli wakiwa na baadhi ya wananchi wakifanya usafi.
Thankx Dr. JPM