Benki Ya Exim Yajivunia Mafanikio Maonesho Ya Biashara na Teknolojia ya Madini
Global Publishers August 4, 2021 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri wa Madini Bw Dotto Biteko (Katikati) akikabidhi cheti cha ushiriki wa Maonesho ya Biashara na Madini kwa Kaimu Meneja wa Benki ya Exim tawi la Shinyanga Bi Sarah Tito ikiwa ni ishara ya kutambua mchango na ushiriki wa benki hiyo kwenye maonesho hayo yaliyohitimishwa hivi karibuni mkoani Shinyanga. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume ya Madini Tanzania Prof. Idris Kikula.