×

Nandy Afunguka “Sijaachana na Billnass” -Video

Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefunguka ishu ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo Fleva, William Lyimo maarufu Billnass.

Leave a Comment