×

Simba Yasajili Winga Mdogo Kutoka Gwambina

TIMU ya Simba leo Agosti 18, 2021 wamemtambulisha, Jimmyson Steven Mwanuke (18) kuwa sehemu ya kikosi cha  msimu ujao akitokea klabu ya Gwambina Fc. Ni mchezaji winga, kijana mdogo na mwenye shauku ya kufika mbali.

Leave a Comment