The House of Favourite Newspapers

Twaha Kiduku Amchakaza Dullah Mbabe – Picha

0

Bondia Twaha Kiduku usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2021 amefanikiwa kumchapa ushindi wa unomiuos decision dhidi ya Dullah Mbabe na kufanikiwa kushinda Crown Mtoa roho.

Ila ngumi za Dullah zilikuwa nyepesi, hazikuwa na madhara makubwa zaidi ya ile moja ya raundi ya kwanza
Ngumi za Kiduku zilikuwa zimeshiba na hiyo ndiyo iliyokuwa silaha yake kubwa.

Kiduku alistahili kushinda kwa kuwa ujazo wa ngumi zake ndiyo ulimfanya Dullah akapotea na kushindwa kufanya kile alichokifanya raundi ya kwanza.

 

 

Leave A Reply