Uongozi wa Yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Muhamasishaji wa timu hiyo, Antonio Nugaz. Taarifa iliyotolewa leo na klabu hiyo imeeleza Nugaz amemaliza mkataba wake na wameamua kutomuongezea.