MWANAMUZIKI William Lyimo ‘Billnass’ (Nenga) baada ya kushuka stejini usiku wa kuamkia leo Septemba 5, 2021 kwenye steji ya Nandy Festival, Viwanja vya Posta Kijitonyama amefunguka kuhusu kurudiana na mpenzi wake Nandy.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx