×

Rais Samia Amteua Bosi wa SADC Kuwa Mbunge

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Dk Stergomena alikuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) aliyemaliza muda wake Agosti 2021.

Leave a Comment