×

Irene Robert Ft. Michel Bakenda – Mabilioni (Official Video)

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye nguli wa muziki wa Injili nchini, Irene Robert ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Mabilioni aliomshirikisha mwanamuziki kutoka DRC Congo, Michel Bakenda.

Wimbo mzuri wa kumsifu Bwana.

Leave a Comment