MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamadi Manungwi ‘Petit Man’ jana Septemba 11, 2021 amemfanyia sherehe ya kumtoa nje mwanaye, Kian aliyetimiza siku arobaini tangu azaliwe Mbweni Dar es Salaam.