×

Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas

photographer_uploaded_1_79_1_1449972038_2015

Miss Universe Tanzania 2015, Lorraine.

Picha ya mrembo anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe 2015 huko nchini Marekani Lorraine C. Marriot akiwa amevalia ‘Red gown’.

Lorraine atakwaana na wenzake katika fainali ya michuano hiyo itakayofanyika Desemba 20, mwaka huu huko Las Vegas, Marekani.

Leave a Comment