×

Unyama: Mke Apigwa Risasi na Kuuawa Kinyama Mbele ya Mumewe

TUKIO hilo la kikatili limetokea katika Mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki, Kinyerezi jijini Dar es Salaam baada ya watu wenye silaha, kumvamia Roby Chacha au maarufu kama Joyce akiwa na mumewe na kumpiga risasi zilizokatisha maisha yake, tukio lililotokea Jumanne ya Septemba 14, 2021 majira ya saa moja jioni

Leave a Comment