×

R Kelly: Staa Mkongwe Anayekwenda Kumalizia Maisha Yake Gerezani-Video

MWANAMUZIKI mkubwa kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly almaarufu R. Kelly, amekutwa na hatia katika mashtaka 9 ya udhalilishaji wa kingono, ubakaji na mengine yanayoshabihiana na hayo yaliyokuwa yanamkabili.

 

R.Kelly amekutwa na hatia ya kutumia usupastaa wake kuwanyanyasa kingono wanawake wakiwemo wasichana wadogo wenye umri wa chini ya miaka 18, makosa anayodaiwa kuyafanya mfululizo kwa kipindi cha takribani miongo miwili.

Leave a Comment