WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika jijini Dodoma.