×

Kocha Taifa Stars Na Nahodha Wanazungumza Muda Huu-Video

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Paulsen na nahodha wake, John Bocco, wanazungumza na wanahabari kuelekea mchezo wa kesho kati ya Tanzania vs Benin, utakaochezwa katika uwanja wa Mkapa jijini Dar wakiwania kufuzu kombe la dunia.

Leave a Comment