×

Mkasa Mzito Wa Dj Wa Burna Boy, “Nimetembea Mwanza Mpaka Dar, Kutoboa Pua?”-Video

Global Tv imepiga story na star anaefahamika kwa jina la DJ JOOSEY na kusimulia safari ya mafanikio yake hakuwai kufikiria kuwa Dj, Dar es salaam alikuja akiwa hana nauli tokea mwanza alidandia magari na kushushwa njiani, maisha yake ya Dar yalikuwa magumu sana.

Leave a Comment