×

Utafiti Wa Ng’ombe Na DNA Ya Malisho Wafanyika Tanzania-Video

Kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wanyama nchi taasisi za utafiti nchini zimefanya utafita wa aina ya Ng’ombe na malisho ya mifugo.

 

kufanyika kwa utafiti huo kumeleta mafanikio makubwa ambapo kituo cha utafiti cha Taliri kilichopo Misungwi mkoani Mwanza kimefanya utafiti na kufanikiwa kupata Ng’ombe aina ya Ankole ambao wanatajwa kuwa bora na wenyewe faida kubwa kwa wafugaji huku tafiti zingine zikiendelea juu ya upatikanaji wa Malisho bora kulingana na ubora wa mifugo hapa nchini ili kuwasaidia wafugaji.

Leave a Comment