Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Prof. Muhando anachukua nafasi ya Prof. Mayunga Habibu Nkunya ambaye alifariki Julai 20, 2021.