Linus Jakamesa (53) Mkazi wa Kivule Jijini Dar es salaam amejikuta katika maumivu makali na mateso makubwa baada ya kugundulika na tatizo la Tezi Dume hali inayosababisha kwa sasa hana uwezo wa kutembea wala kukaa.
Kama umeguswa na tatizo lake unaweza kumchangia chochote kupitia namba 0762 999808-ALAFA CHAUTUNDU
Ukiwa na shida,Changamoto na mateso WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0714 207395