×

Rais Samia Awasli Glasgow, Scotland

Rais Samia leo Oktoba 31, 2021 amewasli Glasgow, Scotland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa ili kupunguza joto Duniani

Leave a Comment