×

Tazama Rais Samia Alivyowasili Scotland

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 31, 2021 amewasili Glasgow, Scotland kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabia ya nchi pamoja na jitihada za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa ili kupunguza joto Duniani.

Leave a Comment