×

Rais Samia Atua Dar Akitokea Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Dodoma leo tarehe 26 Novemba, 2021.

Leave a Comment