×

Elon Musk: Ongezeni Watoto

Mjasiriamali na tajiri namba moja duniani Elon Musk amesema ustaarabu utaisha iwapo watu hawatakuwa na watoto zaidi na kusisitiza kuwa idadi ya watu bilioni 7.9 ulimwenguni kote bado haitoshi.

“Siwezi kusisitiza hili vya kutosha, hakuna watu wa kutosha,” Alisema katika mahojiano na kuongeza kuwa “ustaarabu utaporomoka ikiwa watu hawatakuwa na watoto zaidi.”

Kauli ya tajiri huyo mwenye watoto saba akiwa na umri wa miaka 50 sasa inapingana na wanaotetea mpango wa uzazi wa mpango na kupunguza idadi ya watoto kwa familia hususani zenye uwezo mdogo kiuchumi. Nitajie majina ya viongozi Afrika waliokuwa na wenye msimamo kama huu.

Leave a Comment