Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, Ligi daraja la kwanza na Ligi Kuu ya wanawake limefunguliwa leo Desemba 16, 2021 na litafungwa Januari 12, 2022.