Kifo cha Mama Yake, Lulu Diva Awaliza Mastaa – Video
Global Publishers December 20, 2021 4,640 views 0 Comments
SHARE THIS:
MUIGIZAJI na Mwanamuziki Lulu Diva, amejikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi kwa uchungu kufuatia kifo cha mama yake mzazi kilichotokea jana Desemba 19.