×

Walichanjwa Watakiwa Kuchanja Tena

Kampuni inayotengeneza chanjo za Moderna imesema Watu waliomaliza chanjo zote zinazotakiwa wanapaswa kupata chanjo ya ziada (Booster) kwakuwa imeonesha kusaidia kwa kiasi kikubwa kupambana na kirusi kipya (Omicron).

Moderna Inc imesema Wataalamu wake wapo Maabara wakipambana kutengeneza chanjo maalum kwa ajili ya omicron lakini kwa kipindi hiki wameshauri Watu kuchoma booster.

Leave a Comment