
STAA wa muziki barani Africa Simba 🦁 @Diamondplatnumz 🇹🇿amemnunulia gari dancer wake @hbaajuni ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa muda mrefu
Hii ni kutokana na jitihada alizoonesha dancer wake huyo katika kujituma na utendaji wake wa kazi
Kupitia ukurasa wa instagram #hbaajuni amethibitisha hilo kwa kuandika… 👇
“Asante m/mungu kwa hatua hii asnte big bro @diamondplatnumz kwa zawadi hii kwangu m/mungu apajaze pale ulipopunguza🙏”
