×

Chameleone Afunguka Ugonjwa Unaomtesa, Amtaja Mr. Nice – Video

Wanamuziki wa muda mrefu Chameleone kutoka nchini Uganda na Mr Nice kutoka Tanzania, wamezungumza na waandishi wa habari nchini Congo, walipokwenda kwa ajili ya shoo ya Christmas, ambapo wameeleza mambo mengi, ikiwemo chanzo cha ukimya wa Chameleone, na ukaribu uliopo baina yao.

Leave a Comment