×

Kwa Mara ya Kwanza, Sure Boy Awasalimia Wananchi – Video

Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kwa mara ya kwanza akiwasalimia wana-Yanga kwa Mkapa. Nyota huyo amejiunga na Yanga akitokea Azam FC.

Leave a Comment