×

Kumbilamoto Afunguka Kuachana na Dida

June 10, mwaka huu, mtangazaji maarufu nchini wa kipindi cha mashamsham cha Wasafi Fm, Didah Shaibu pamoja na Diwani wa Vingunguti na Meya wa jiji la Dar es Salaam, Mh. Omary Kumbilamoto walianza maisha rasmi ya ndoa.

 

Huku na huku hivi karibuni wambea wakanasa ubuyu kuwa wawili hao wamepeana mikono ya kwa heri! Sasa basi, nakusogezea hii.

 

Akizungumza na moja ya vyombo vya ahabri, Mh. Kumbilamoto ameweka sawa kuwa ndoa yao ipo na inanoga kila leo, wao pia wanaona tu maneno mitandaoni na wanayazika.

Leave a Comment