×

Yanga Yabanwa Mbavu na KMKM

Yanga SC imeshindwa kufurukuta mbele ya Wazuia Magendo wa Zanzibar (KMKM) baada ya kulazimishwa sare ya bao 2-2 katika mashindano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea visiwani Zanzibar.

Yanga imefuzu nusu fainali kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa, katika game hiyo iliyopigwa kwenye Dimba la Amani Stadium.

Mabao ya Yanga yaliwekwa kimyani na Heritie Makambo katika kipindi cha pili na bao lingine likifungwa na Feisal Salumu ambaye ndiye nyota wa mchezo huo.

Wafungaji Mabao

Yanga Sc

Heritier Makambo 45′
Feisal Salum 83′

KMKM Sc

Othman 53′

Abdallah Ali90+4′

Leave a Comment