GLOBALJAMII wiki imekutana na Rehema Abdala (60) Mkazi wa Chanika Jijini Dar es Salaam ambaye kwa sasa anapitia magumu kutokana na viungo vyake kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi vikiwemo Mikono na Miguu hali inayomlazimu kusota badala ya kutembea.
Rehema kwa sasa anasaidiwa na Mjukuu wake Khadija Maliki (11) ambaye ndiye anaemsaidia shughuli zote ikiwemo kumuogesha.
NAMBA YA REHEMA 0783 644 898 MAWASILIANO UKIWA NA SHIDA, CHANGAMOTO – 0714 207395…. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx